Zombie S2KIZZY
JF-Expert Member
- Mar 15, 2021
- 826
- 1,622
...labda wilaya ya misungwi na magu .....Wakuu hivi ni sehemu gani kwa Jiji la Mwanza naweza kupata kiwanja cha laki 8?
Nataka nihamie Mwanza
Duh haya bwana, mwanza viwanja cha bei ndogo ni 4milWakuu hivi ni sehemu gani kwa Jiji la Mwanza naweza kupata kiwanja cha laki 8?
Nataka nihamie Mwanza
Nasikia uko milimani Serikali inampango wa kuhamisha wanaishi wanaoishi millimanNenda milimani uko..muone mwenyekiti wa mtaa atakupa eneo pemben ya jiwe