lusanasaimon Senior Member Joined Jan 19, 2023 Posts 108 Reaction score 264 Jun 30, 2023 #1 Wakuu nahitaji kiwanja Mwanza nina m2
Urban Edmund JF-Expert Member Joined Mar 20, 2018 Posts 2,250 Reaction score 3,607 Jun 30, 2023 #2 nikopeshe hata 10 tu 🤣
NYANYADO JF-Expert Member Joined Jan 8, 2013 Posts 3,804 Reaction score 2,482 Jul 1, 2023 #3 Mwanza kubwa. Eneo lipi hilo
Imalamawazo JF-Expert Member Joined Jul 27, 2021 Posts 1,343 Reaction score 3,269 Jul 2, 2023 #4 Sogea upande Sengerema utapata kwa bei hiyo.
D donation Member Joined Jul 12, 2015 Posts 28 Reaction score 14 Jul 3, 2023 #5 Njoo kisesa boss, viwanja vinapatikana.
Imalamawazo JF-Expert Member Joined Jul 27, 2021 Posts 1,343 Reaction score 3,269 Jul 3, 2023 #6 Hivi Kisesa iko wilaya gani? donation said: Njoo kisesa boss, viwanja vinapatikana. Click to expand...
Hivi Kisesa iko wilaya gani? donation said: Njoo kisesa boss, viwanja vinapatikana. Click to expand...
kalisheshe JF-Expert Member Joined Mar 19, 2020 Posts 2,064 Reaction score 4,056 Jul 3, 2023 #7 Nenda wilaya ya ilemela kule Kuna viwanja mpaka 500k Kuna mtaa unaitwa kayenze unakua kwa kasi sana ni karibu na ziwa ukienda huko viwanja nje nje
Nenda wilaya ya ilemela kule Kuna viwanja mpaka 500k Kuna mtaa unaitwa kayenze unakua kwa kasi sana ni karibu na ziwa ukienda huko viwanja nje nje
aliyetegwa JF-Expert Member Joined Jul 11, 2015 Posts 313 Reaction score 486 Jul 17, 2023 #8 lusanasaimon said: Wakuu nahitaji kiwanja Mwanza nina m2 Click to expand... Kama uko seriously tuwasiliane Nina viwanja maeneo ya kishiri ninaviuza, kama unapenda ukanda huo njoo tufanye biashara
lusanasaimon said: Wakuu nahitaji kiwanja Mwanza nina m2 Click to expand... Kama uko seriously tuwasiliane Nina viwanja maeneo ya kishiri ninaviuza, kama unapenda ukanda huo njoo tufanye biashara
Dr tupa JF-Expert Member Joined Apr 30, 2017 Posts 229 Reaction score 170 Jul 20, 2023 #9 Wilaya ya Magu