Nahitaji Kondoo aina ya Dorper

Nahitaji Kondoo aina ya Dorper

sankara25

JF-Expert Member
Joined
Aug 19, 2022
Posts
389
Reaction score
789
Mambo vp Wadau wa ufugaji.

Nimevutiwa sana una ufugaji wa awa kondoo aina ya Dorper weupe ila kuanzia kichwan wana rangi nyeusi nitapata wapi na bei zake wanauzawaje ?
 
Kuna Shamba moja wanao lipo Kwala, Kibaha ila wanaanza kuuza kuanzia mwezi wa 11,nitafuatilia bei na mambo mengine nitakujulisha kupitia uzi huu.
 
Back
Top Bottom