Nahitaji kondoo aina ya Red Maasai

Nahitaji kondoo aina ya Red Maasai

phael vet

Senior Member
Joined
Sep 30, 2016
Posts
132
Reaction score
89
Salama wadau,

Ninahitaji kondoo aina ya Red Maasai kwa ajili ya kufuga mwenye uelewa wa wapi naweza nikapata na bei yake anisaidie.
 
Weka picha tuone huyo red maasai kafananaje. Huenda majirani wanaye huyo Red maasai unae mhitaji tukusanue.
 
Ninao cross ya red maasai na somalia vp upo interested.

Bei zangu ni kuanzia 120k kwa kondoo wa miezi mitatu au minne
 
Alafu unakuta kondoo mwenyewe ni mweusi au mweupe badala ya mwekundu[emoji1787][emoji1787] akili zangu nazijua mwenyewe
 
Back
Top Bottom