BlackPanther
JF-Expert Member
- Nov 25, 2015
- 9,185
- 8,715
Chief unautani kweli kama 40fit linasimama 3million sasa 20fit ndo liwe laki tanoHabari wakuu? Hope wazima kabisa!
Nina uhitaji wa kontena la futi 20, lenye hali nzuri, bajeti yangu ni tsh 500.000/= Laki tano!
Ahssnteni!
Chief unautani kweli kama 40fit linasimama 3million sasa 20fit ndo liwe laki tano
Hahahaha aisee leo ndo umenichekesha kuliko siku zote mkuu kumbe huwa una masiharaKwa bajeti yako nakushauri utafute yale matenga yanayowekea nyanya......mkuu......you can't be serious
At least uwe na million ya kuanzia tuLinasimamia how much?
Nashkuru kamanda wangu, atleast umenipa mwangaza, acha nijipangeAt least uwe na million ya kuanzia tu
Kuna lipo lilikuwa linauzwa ila chakavu sana halafu lishafanyika grocery Kwa zaidi ya miaka kumi ila bei Ilikuwa laki Sita ndo maana nikashauri uanzie MNashkuru kamanda wangu, atleast umenipa mwangaza, acha nijipange
Niwie radhi ndugu yangu....nilikuwa kwenye masihara....but inategemea na upya wa container..... lakini roughly 1.5m unaweza kupata......Watu kama wewe sio wa kujibishana nao
Huwezi pata chini ya millioni moja na nusuLinasimamia how much?
Niwie radhi ndugu yangu....nilikuwa kwenye masihara....but inategemea na upya wa container.....
Ubarikiwe sana kamandalakini roughly 1.5m unaweza kupata......
Shukran sana kamandaHuwezi pata chini ya millioni moja na nusu
Kuna lipo lilikuwa linauzwa ila chakavu sana halafu lishafanyika grocery Kwa zaidi ya miaka kumi ila bei Ilikuwa laki Sita ndo maana nikashauri uanzie M
ππππKwa bajeti yako nakushauri utafute yale matenga yanayowekea nyanya......mkuu......you can't be serious
Acha utani basiHabari wakuu? Hope wazima kabisa!
Nina uhitaji wa kontena la futi 20, lenye hali nzuri, bajeti yangu ni tsh 500.000/= Laki tano!
Ahssnteni!
Tena 40ft ni 5millionsChief unautani kweli kama 40fit linasimama 3million sasa 20fit ndo liwe laki tano
Sio chini ya 2.5millionLinasimamia how much?
Hiki ndicho ninachojua, sasa wengine wanamdanganya ni milioni mojaKontena 40 ft ni 5.5 ml +
20 ft ni 3.5 ml
Chini ya hapo unanunua banda la chuma lenye ft unazotaka.