komredi ngosha
JF-Expert Member
- Jan 11, 2011
- 382
- 71
<br />usikose furaha bro,wala usikate tamaa,iko day switi wako utampata,it's just a matter of time.
salaam jf
Leo nimeamua na mimi kupost hapa kuhusu tatizo la kukosa mwenza mpenzi kwa muda mrefu. Well, nina miaka 26 sasa, niko chuo kikuu mwaka wa 3 nasoma computer engineering. Katika maisha yangu sijawahi kua na galfrnd, nimejaribu mara kadhaa kua nae kila binti ninaemtaka aidha anakua na mtu au havutiwi na mimi na hivyo jibu la hapana nishalizoea. Wanataka tu urafiki wa kawaida, hakuna ambaye anakua yuko tayari kua na mimi. Jambo hilo linaninyima raha sana, nimeanza kuogopa kutongoza na kuna wakati nikiwaona au kusikia watu fulani ni wapenzi nakosa furaha na kujiuliza sana why not me?! Naombeni ushauri wenu.
Boss jamani mbavu zangu!!!!!!!!!!!! unanichekesha hasa leo,mbona una mpelekea mwenzio huko kwa mama ntilie? ebu mwambie akupe pic yake ili umpe darsa lilotimia mama ntilie anaweza kumkata akasema umri wake mdogo sasa basi akishakutumia pic yake ndio utamwambie nini afanye nakuaminia ww mjuzi wa mambo.wewe unatongoza ambao sio level zako
ndo maana unakataliwa
hebu shuka chini
anza na akina mama ntilie hivi wa maeneo ya kwenu upate uzoefu.....
Boss jamani mbavu zangu!!!!!!!!!!!! unanichekesha hasa leo,mbona una mpelekea mwenzio huko kwa mama ntilie? ebu mwambie akupe pic yake ili umpe darsa lilotimia mama ntilie anaweza kumkata akasema umri wake mdogo sasa basi akishakutumia pic yake ndio utamwambie nini afanye nakuaminia ww mjuzi wa mambo.
<br />Watoto wakike mbona wako wengi.kula kitabu then ukishakamata $$ mwenyewe mbona utakimbia.
<br />
<br />
umeona ee! Huyu msela inaonyesha ni bakhili.