General Nguli
JF-Expert Member
- Apr 22, 2022
- 1,190
- 2,508
Wakuu naomba kujuzwa jinsi nitakavyo faidika kuangalia Uefa nikiwa kitandani na Laptop yangu.
Msaada pliz
Msaada pliz
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
download file >> hapa <<Wakuu naomba kujuzwa jinsi nitakavyo faidika kuangalia Uefa nikiwa kitandani na Laptop yangu.
Msaada pliz
Asante kaka nina Gb 29Andaa bando lako la gb 2
Saa tatu na dakika 55 (21:55) naweka link hapa
Bro zimebaki dk Chache tuu nakuskiziaAndaa bando lako la gb 2
Saa tatu na dakika 55 (21:55) naweka link hapa
Bro zimebaki dk Chache tuu nakuskizia
fata maelezo ya comment ya tatuBado sijaona mkuu