Nahitaji kuanza biashara ya kutengeneza vyombo vya udongo

Nahitaji kuanza biashara ya kutengeneza vyombo vya udongo

Hiumel

New Member
Joined
Dec 13, 2020
Posts
1
Reaction score
0
Wana JF,

Nahitaji kuanzisha ujasiriamali wa kutengeneza vyombo vya dongo,

Anayefahamu supplier wa marighafi kama kaolini clay au ball clay anisaidie ikiwa kuna anaehitaji kushirikiana au wazo chochote nitakushukuru
 
Mi nadhani hili wazo ni zuri sana a ulitakiwa kufanya kimya kimya hukuhitaji ushauri

Sent from my SM-G935F using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom