Mgibeon
JF-Expert Member
- Aug 7, 2011
- 11,308
- 21,507
Mu-hali gani wakuu??? Maisha magumu sana, kila kukicha mambo yanazidi kuwa magumu, nilifanikiwa kuanzisha ki'biashara flani (maji na juice kwa jumla) hapo Dar ila mimi nilikua mkoani naongeza kisomo kidogo ila kama mjuavyo tena USIMAMIZI Ulikua mgumu sana kutokana na umbali hivyo nikajikuta nadhulumika tu.
Sijakata tamaa, kwa sasa nina vijesenti kidogo( 7mil ), nafikiria nikurudi(mid-july 2013) nije nihamie katika biashara ya kuuza bia kwa jumla, sasa uhitaji wangu ni kufahamu kreti ngapi zinatosha kupewa idhini na baraka kutoka kwa wazalishaji...
Kuhusu eneo nategemea kujichanganya kati ya kinondoni, kimara au kunduchi.. Nisaidieni tafadhari.