Nahitaji kuanzisha biashara ndogo

federicofernandez

JF-Expert Member
Joined
Jun 19, 2016
Posts
578
Reaction score
392
yani nataka ntafute kitu kama dell la maji barid hiv, na baadh ya vinywaji, yan kiwe kama kiosk flan hiv ambacho inaeza ikawa hata ni pemben ya barabara kama kuanzia tukikosa sehem ya frem

HATA MADEGREE HOLDER NAWAKARIBISHA MAANA HAWA WANAJIDAIGI HAWATAKI BIASHARA NDOGO////// [HASHTAG]#WALIO[/HASHTAG] ERIOUS KARIBUNI SANA
 
Sijui kama umeeleweka vizuri... Mm sijakuelewa!!
 
Hujaeleweka .. sasa Sijui Hiyo Biashara utaifanyaje kama Huelewik
 
maji ,juice, vocha ,sigara,viroba soda uapaa faida ata 10000 kwa siku kama sehemu ina mizunguko mingi ya watu maji aina zote 500-1500,soda creti 3,sigara vibox 4 apo SM,na sportsman,viroba apo konyagi original kulingana na hali halisi ya kipato kwa sasa juice unaweza chagua huu ndo msimu wa matunda maembe na mananasi mtaji una range kati ya 100000-200000 kamata fursa twenzetu.......
 
ambao hamjaelewa someni hii comment yahuyu jamaa, yy kanielewa.. ndio nataka nifanye hvy.. kiswahil nasahau kdgo
 
kama kuna kija mtaani kwenu huko anazurura mwambie anione tufanye kazi... nipo dar
 
ni Pm mkuu tuongee zaidi
 
Uko mkoa gan tuone namna ya kushirikiana..nam nina wazo kama hilo hilo!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…