Canabian Rasta
JF-Expert Member
- Aug 18, 2022
- 775
- 1,745
Hivyo vyuma chakavu unavipata wapi mkuu? Usije ukaletewa miundombinu ya serikali au mali za wizi ukazamisha mtaji wako, biashara inahitaji umakini hii
Vina faida sana vyuma chakavu
Watakao kuwa wanakuletea wengi hata makazi ya kudumu hawana wengine mateja Sasa wewe utakamatwa kama mtuhumiwa namba mbili hivyo itakubidi uisaidie police kumpata mtuhumiwa namba moja hapo ndio moto na alieleta Mali ya wizi Huwa harudi Tena siku nyingine anaenda kuuza kwingineNategemea kua navinunua kwa watu, kwani sheria hua imekaa vipi kwa mfano umeuziwa mali ya wizi ikiwa mimi mmiliki sina kosa ilie niuzia ni mteja na nina office ilo fata taratibu zote kisheria?
Fungua tu, faida ni kubwa. Hasara yake ni kununua mabomu na kila mara kufatwa na polisi kuchukua mgao wao, ukipenda usipende.Habari wana BUU, kwenye harakati za kujikomboa kiuchumi mwenzenu nimepata idea yakufungua biashara ya kununua na kuuza vyuma chakavu.
Natamani kujua;
*Faida yake iko vipi?
*Hasara ipo angle ipi?
*ghalama za leseni?
*vifaa gani ni muhimu kua navyo.
Mtaji nilopanga kuinvest ni 3M tu.
Naomba ushauri au maoni yenu wadau hasa wanaofanya biashara hii ama kuijua.
Ahsanteni.
Twende mkiu ludewa tukafue tu
Fungua tu, faida ni kubwa. Hasara yake ni kununua mabomu na kila mara kufatwa na polisi kuchukua mgao wao, ukipenda usipende.
Yeah kiwanda kidogoMkuu unamaanisha kufungua kiwanda?