Nahitaji kuanzisha biashara ya Wakala wa LUKU, DSTV na M-Pesa, Ni vitu gani vinahitajika?!

Nyalotsi

JF-Expert Member
Joined
Jul 20, 2011
Posts
6,986
Reaction score
5,058
Nataka kufanya biashara hiyo hapo juu huku ninakoishi.

Kwa wazoefu;
Nahitaji kuwa na mtaji kiasi gani?
Vitu gani vingine vinahitajika?

Asanteni kwa mawazo yenu.
 
ukipata max malipo kwa huko ulipo labda itakufaa kwenye shughuli zako.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…