Nahitaji Kuanzisha Biashara

Joined
May 5, 2015
Posts
34
Reaction score
67
Habari ya wakati mwema wanaJukwaa na hadhira kwa Ujumla
Nahitaji kuanzisha biashara Yangu binafsi ila kwa sasa nina mtaji wa 35000 na Biashara nataka iwe ya mtaji wa 500000 na Ntakamilisha iyo pesa mwezi huu mwishoni,Naomba ushauri Biashara gani nianzishe ili kujikuza Kimaisha
.....Asanteni na Mungu awabariki...
 
Mkuu nakuomba fanya utafiti kidogo humu jamvini pana mabandiko mengi sana yanayofanana na hili la kwako em yapitie hayo zaidi pia pana mabandiko kuhusu namna ya kupata wazo bora la biashara nakushauri pitia na hayo pia naimani hutakosa kitu humo ukishapata wazo rudi hapa sasa tukushauri namna ya kupita pita kwenye hiyo biashara kila la heri mkuu!!
 
Hatua ya kwanza kabla ya kuanzisha biashara yoyote ni kufanyia research hiyo biashara unayotaka kufanya...

Nakushauri fanya research ya biashara ya matikiti ina lipa vizuri mno.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…