Nahitaji kuanzisha duka la vifaa vya fundi cherehani, wenye uzoefu

ndanda masasi

JF-Expert Member
Joined
Jun 2, 2014
Posts
772
Reaction score
1,177
Uzoefu wenu unahitaji upatikanaji wa vitambaa, zipu, nyuzi na vitu kama hivyo. Pia spear za bicycles upatikanaji na bei zake.

Tafadhali msaada waugwana
 
Wew bwana acha kutuchanganyia lugha yenu ya kikabili humu
 
Uzoefu wenu unahitaji upatikanaji wa vitambaa, zipu, nyuzi na vitu kama hivyo. Pia spear za bicycles upatikanaji na bei zake.

Tafadhali msaada waugwana
Aisee tiwasiliane sis tunasafitisha hio mizigo kutka china karibu javis piga 0769061198 tukuelekeze ofisi zetu
 
Uzoefu wenu unahitaji upatikanaji wa vitambaa, zipu, nyuzi na vitu kama hivyo. Pia spear za bicycles upatikanaji na bei zake.

Tafadhali msaada waugwana
Habari ndugu. Vp ulifanikiwa??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…