Nahitaji kuanzisha duka la vinywaji, naomba mwongozo

Nahitaji kuanzisha duka la vinywaji, naomba mwongozo

Joined
Jul 8, 2019
Posts
8
Reaction score
16
Wakuu habarini,

Nahitaji kufungua duka la vinywaji kama bia, soda, pombe kali baadhi, maji na sigara la rejareja sio kuubwa bali la kawaida tu, naomba muongozo wa wanaofanya hii kwamba naweza anza na kiasi gan, pia mahitaji ni yapi, na kibali chake vipi?

Karibuni kwa mawazo
 
Tafuta mahali pamechangamka na pana movement za watu

Jitahidi uwe na kampani siku za kwanza kwanza waje wakusaidie ku attract watu
Sorry, ukisema nijitahid kuwa na
Tafuta mahali pamechangamka na pana movement za watu

Jitahidi uwe na kampani siku za kwanza kwanza waje wakusaidie ku attract watu
Sorry, hapo kweny kuwa na kampan inakuwaje? Naomba ufafanuzi kam hutojal
 
Wakuu habarini,

Nahitaji kufungua duka la vinywaji kama bia, soda, pombe kali baadhi, maji na sigara la rejareja sio kuubwa bali la kawaida tu, naomba muongozo wa wanaofanya hii kwamba naweza anza na kiasi gan, pia mahitaji ni yapi, na kibali chake vipi?

Karibuni kwa mawazo
Bia zinahitaji nafasi na mtaji mkubwa halafu faida kiduchu.. Dili na
Maji
Shurubati za aina zote
Energy drinks
Maji
Wines
Pombe Kali hasa smart gin, konyagi, valuer, kick nk

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Bila kwenda kwenye pub, bar n.k kuchukua order na kufanya derivery biashara hiyo ni ngumu sana.
 
Back
Top Bottom