HONOURABLE PETER
Member
- Jul 8, 2019
- 8
- 16
Sorry, ukisema nijitahid kuwa naTafuta mahali pamechangamka na pana movement za watu
Jitahidi uwe na kampani siku za kwanza kwanza waje wakusaidie ku attract watu
Sorry, hapo kweny kuwa na kampan inakuwaje? Naomba ufafanuzi kam hutojalTafuta mahali pamechangamka na pana movement za watu
Jitahidi uwe na kampani siku za kwanza kwanza waje wakusaidie ku attract watu
Bia zinahitaji nafasi na mtaji mkubwa halafu faida kiduchu.. Dili naWakuu habarini,
Nahitaji kufungua duka la vinywaji kama bia, soda, pombe kali baadhi, maji na sigara la rejareja sio kuubwa bali la kawaida tu, naomba muongozo wa wanaofanya hii kwamba naweza anza na kiasi gan, pia mahitaji ni yapi, na kibali chake vipi?
Karibuni kwa mawazo
ni kwa rejareja au jumla yan vinywji vikali wapi unaweza kupata faida nzuri kwenye rejareja na jumlaBia zinahitaji nafasi na mtaji mkubwa halafu faida kiduchu.. Dili na
Maji
Shurubati za aina zote
Energy drinks
Maji
Wines
Pombe Kali hasa smart gin, konyagi, valuer, kick nk
Sent using Jamii Forums mobile app