Nahitaji kuanzisha Kiwanda cha kutengeneza Chokaa! Naomba mnishauri wa namna ya kukianzisha

The only

JF-Expert Member
Joined
May 19, 2011
Posts
10,805
Reaction score
14,181
Habari waungwana !

Hivi karibuni nilibahatisha kiwanja cha mawe ya chokaa(mgodi) ekari 50 nikakinunua kwa taratibu zote

Naomba Wajasiriamali mnishauri juu ya uanzishaji kiwanda, majhitaji ya mashine na je nazipataje?

Kama kuna mtu mshauri mzuri(mtaalamu) na juu ya masoko.
 
hapo jaribu kutembelea viwanda vya chokaa uone wanafanya nini itakurahisishia kujua nini unahitaji na nini au hitaji katika kujenga kiwanda cha chokaa
 
Sehemu gani hiyo?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…