M Mangien New Member Joined Mar 9, 2023 Posts 4 Reaction score 0 Jan 15, 2024 #1 Habari za wakati huu wakuu, Naomba kwa anaefahamu hatua za kufuata Ili kurekebisha tarehe ya cheti cha kuzaliwa iendane na vyeti vya shule mana cheti kilikosewa tarehe.
Habari za wakati huu wakuu, Naomba kwa anaefahamu hatua za kufuata Ili kurekebisha tarehe ya cheti cha kuzaliwa iendane na vyeti vya shule mana cheti kilikosewa tarehe.
Azarel JF-Expert Member Joined Aug 25, 2016 Posts 28,916 Reaction score 40,479 Jan 15, 2024 #2 Unaenda Wilayani kwa kamishna wa viapo au mahakamani kama sijakosea...ila Wanasheria humu watakupa mwongozo zaidi
Unaenda Wilayani kwa kamishna wa viapo au mahakamani kama sijakosea...ila Wanasheria humu watakupa mwongozo zaidi
Kennedy JF-Expert Member Joined Dec 28, 2011 Posts 54,894 Reaction score 64,043 Jan 15, 2024 #3 Mangien said: Habari za wakati huu wakuu, Naomba kwa anaefahamu hatua za kufuata Ili kurekebisha tarehe ya cheti cha kuzaliwa iendane na vyeti vya shule mana cheti kilikosewa tarehe. Click to expand... Fika Rita Jambo Dogo Sana Utalipa Gharama Kidogo
Mangien said: Habari za wakati huu wakuu, Naomba kwa anaefahamu hatua za kufuata Ili kurekebisha tarehe ya cheti cha kuzaliwa iendane na vyeti vya shule mana cheti kilikosewa tarehe. Click to expand... Fika Rita Jambo Dogo Sana Utalipa Gharama Kidogo