Nashukuru kwa feedback yako mkuuInategemea na hizo unazotaka kureplace, kawaida rims za dukani sio imara sana kulinganisha na zinazokuja na gari au za mtumba.
Saying so doesn't mean hazifai kwa route ndefu kama unavosema ila sio imara kwny mashimo unapokuwa mwendo unaweza kukata rim.
Hapo awe makini....watu wanachukua rim za kichina anazitumia kidogo then zinaingia sokoni...utaambiwa hizi ni used bei mlima. .kumbe za kichinaInategemea na hizo unazotaka kureplace, kawaida rims za dukani sio imara sana kulinganisha na zinazokuja na gari au za mtumba.
Saying so doesn't mean hazifai kwa route ndefu kama unavosema ila sio imara kwny mashimo unapokuwa mwendo unaweza kukata rim.