Nahitaji kuchora tatoo zile zinazofutika

Nahitaji kuchora tatoo zile zinazofutika

Msukuma wa dar

JF-Expert Member
Joined
Jul 14, 2016
Posts
1,160
Reaction score
1,195
Mambo vipi waungwana,ni wapi wanachora tatoo zile za kufutika baada ya muda flani au kuzifuta mwenyewe pindi napohitaji kufanya hivyo hata kama ni kesho yake.
 
Back
Top Bottom