Kampuni ya NABAKI africa Iko POA Sana (NABAKI wanamfunika hadi ALAF)
, pia DRAGON wanajitahidi. (Dragon ni mzuri Sana kuliko kiboko)
Kiboko Yuko levo Moja na kina sunshare, kinglion na sunshin
Bati zote Zinategemea na geji mkuu,Mkuu weka na bei aiseh
Kwa bati ya geji 30, futi 10Mkuu weka na bei aiseh
Mkuu DeepPond nina swali sijui kama litaeleweka.Unapokwenda kununua mbao,
Jitahidi uende na tepu Yako. Bei yake haizidi elfu 5
Wauzaji WA mbao wengi Sio waaminifu.
Wanakua na tepu zao zilizochakachuliwa.
Utauziwa mbao fupi Kwa Bei sawa na na Bei ya mbao Ndefu.
Ikumbukwe,
Ukinunua mbao fupi chini ya urefu WA futi 12, utakua nje ya tathimini ya idadi ya mbao zinazohitajika nilizokutajia kule mwanzoni.
Mkuu DeepPond nina swali sijui kama litaeleweka.
Mfano una ramani ya nyumba yako nzima, ukaamua kujenga kwanza nusu yaani upande wa mbele (sebule, chumba na dining) kama nilivyokata na mstari wa blue hapo kwenye picha.
Je inawezekana kuezeka hiyo nusu kwa lengo lako lile lile la muonekano wa paa ili uje umalizie badae utakapokuwa umekamilisha jengo? Au ni lazima uezeke slope kwanza ili jengo likishakamilika ufumue uezeke upya?
Au kwa maneno mengine chukulia hiyo nyumba ingejengwa nusu kama mstari wa blue unavyoonesha, je ingeweza kupauliwa hivyo hivyo nusu upande huo wa mbele na kuja kumalizia badae upande wa nyuma pindi jengo likikamilika?
Sababu ni kwamba nina nyumba nimejenga hivyo lakini sitaki kuezeka slope ili badae nije nifumue pia muonekano mbaya wa slope.
MkuuKujenga slope ni hasara, PATA fundi mzuri, Funika kutokana na ramani Yako Ila kiwe kinusu, gepu linalobaki unaweza kuamua kupandisha ukuta kabisa kuziba (linaitwa gebo) , au ukafunika na bati reject kuzuia mvua ya upepo n maji kuingia ndani.
Ila hakikisha unaacha matoleo ya mbao na tofali za Kuta ili kukurahisishia siku umeamua kuendeleza ujenzi.
Kujenga slope ni hasara, PATA fundi mzuri, Funika kutokana na ramani Yako Ila kiwe kinusu, gepu linalobaki unaweza kuamua kupandisha ukuta kabisa kuziba (linaitwa gebo) , au ukafunika na bati reject kuzuia mvua ya upepo n maji kuingia ndani.
Ila hakikisha unaacha matoleo ya mbao na tofali za Kuta ili kukurahisishia siku umeamua kuendeleza ujenzi.
[/QUOMkuu asante sana. Nilifikiri haiwezekani , hapo naona mipango yangu itaenda vizuri sasa.Kujenga slope ni hasara, PATA fundi mzuri, Funika kutokana na ramani Yako Ila kiwe kinusu, gepu linalobaki unaweza kuamua kupandisha ukuta kabisa kuziba (linaitwa gebo) , au ukafunika na bati reject kuzuia mvua ya upepo n maji kuingia ndani.
Ila hakikisha unaacha matoleo ya mbao na tofali za Kuta ili kukurahisishia siku umeamua kuendeleza ujenzi.
Fundi soma coment #30 useme kama hiyo kazi unaiweza. Elezea utaifanyaje ili nishawishike kukutafuta. Ukitupia kama picha mbili za kazi zako pia sio mbaya.Fundi nipo hapa wa kupauw ikikupendeza nitafute kwa mawasiliano zaidi
Mkuu nimependa uchambuzi wako, naomba unifahamishe hizi bati za kuagiza china moja kwa moja zipo vizuri au ni sawa na hizi za kichina zinazouzwa bongoKampuni ya NABAKI africa Iko POA Sana (NABAKI wanamfunika hadi ALAF)
, pia DRAGON wanajitahidi. (Dragon ni mzuri Sana kuliko kiboko)
Kiboko Yuko levo Moja na kina sunshare, kinglion na sunshine.
mkuu vipi kati kiboko na dragon ipi yenye bei kubwa?Kampuni ya NABAKI africa Iko POA Sana (NABAKI wanamfunika hadi ALAF)
, pia DRAGON wanajitahidi. (Dragon ni mzuri Sana kuliko kiboko)
Kiboko Yuko levo Moja na kina sunshare, kinglion na sunshine.
Mkuu nimependa uchambuzi wako, naomba unifahamishe hizi bati za kuagiza china moja kwa moja zipo vizuri au ni sawa na hizi za kichina zinazouzwa bongo
mkuu vipi kati kiboko na dragon ipi yenye bei kubwa?