Nahitaji kueezeka nyumba ni ushauri gani utanifaa

Ahsante Mkuu,
Naona leo ndio umekua Hechy Essy wetu wa uzi huu.
πŸ‘πŸΎπŸ‘πŸΎπŸ‘πŸΎ
 
ukigawanya kingpost kwa 1.8 je?
 
ukigawanya kingpost kwa 1.8 je?
Slope ya bati itakua Kali kdg,

Ukigawanya Kwa 2 unapata slope standard kabisa ya nyuzi 45Β°

Wasukuma wengi (hasa WA Geita,chato,kahama n.k) wanagawanya Kwa 1.5,

Aisee, kule Unakutana na nyumba Ina paa refu mno kuliko urefu halisi WA nyumba.

NYUMBA IKIPAULIWA INAKUA KAMA VILE IMEVISHWA BARAGHASHIA,imemezwa na paa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…