MKUU, kumradhi nitoe uzoefu wang kdg apa, nmeingilia comment ya mtu🙏Mkuu nahitaji kupaua nyumba yangu kwa kampuni ya Dragron vipi kwa uzoefu wako ni bati isiyopauka?
Maana mtu wao wa mauzo amenishawishi sana, naogopa kuingia chaka.
😂😂😂 Mzee WA mbususu uyoWew unajua type of mbususu 😃😃
Inakua Kama Nyumba ya kaburi la jpmhapo ni kweli kuna nimeona ina 1.6 asee paa lemeeenda hewani
😄😄Ngoja Nikinywa chai nitarudi aiseeHapana,
Unatafuta eneo la Kila square ya nyumba yako, afu unajumlisha skwea zote kwa pamoja.
Mfano: Nyumba ya vyumba 3 master, chumba kimoja single,sebule ,dining, vibaraza 2 na public toilet 1
👉Vyumba 3 master vya futi 12×12
Itakua (12×12) × 3 = 288 square Futi
👉Chuma 1 single Cha futi 9×9
Itakua (9×9) × 1= 81 square futi
👉Sebule yenye Futi 15×15
Itakua (15×15) × 1= 225 square Futi
👉Dining yenye Futi 10×8
Itakua (10×8) × 1= 80 square Futi
👉Vibaraza 2 vya futi 5×10
Itakua (5×10) × 2 = 100 square futi
👉Public toilet 1 ya futi 5× 7
Itakua (7× 5) × 1= 35 square Futi
Kisha,
Utajulisha square Futi zote pamoja:-
288+81+225+80+100+35= 809 square Futi
Hizo 809 sqFt ndizo skwea futi za nyumba Yako yote.
Baada ya hapo,
utagawanya hizo square futi Kwa 144
YAANI, 809÷144= 5.62
Kisha utamalizia Kwa kuzidisha Kwa 12.
YAANI, 5.62× 12= 67.42, approximately 68.
Hizo 68 ndizo idadi ya bati zinazohitajika kwenye nyumba Yako yote.
sawa mkuuMKUU, kumradhi nitoe uzoefu wang kdg apa, nmeingilia comment ya mtu🙏
Dragon nmeiskia Sana ila nmeitumia mwaka huu tu, YAANI Mara Moja.
Tena niliinunua bati 43 Kwa mtu Kwa Bei chee Sana mwaka jana mwezi Kama huu (nilimlalia Sana Bei),
Ni alipaulia kwake zikabaki, akaleta dukan kwangu tufanye exchange nimpatie material za finishing.
Nilivozishika TU kuzikagua,aisee ule ugumu wake ulinishawishi, nikatafta kujua ni kampuni gani hii, ndo nikakuta imeandikwa DRAGON, nikakubali ni bati imara kias chake.
Nilizipeleka saiti Moja Kwa Moja kuzitest, na mwaka huu nmezipaulia vyumba viwili self vya kupangisha na vimesha kamilika mwezi march mwaka huu. Wapangaji washahamia.
Kuhusu kupauka Kwa rangi,sijajua.
Ila nnachojua, Kila bati uwa inapauka rangi,Ila ALAF ndo zinachelewa zaidi.
Hebu Ngoja nizichunguze zaidi angalau Kwa miaka 2, naweza kupata majibu
Ila humu naamini wapo waliokwishazitumia kitambo, wanaweza kuleta majibu zaidi🙏
duuh! Ila wasukuma, basi tu, hivi huu si urefu wa bati 3 kabisa?Inakua Kama Nyumba ya kaburi la jpm
Chai gani iyo unakunywa Hadi leo😄😄Ngoja Nikinywa chai nitarudi aisee
Mahesabu makali sana 😂Chai gani iyo unakunywa Hadi leo
Mahesabu makali sana 😂
Nitakuja pm kaka
Ndio huu mkuuPoa👍
YesNdio huu mkuu
Mkuu Kuna Hawa jamaa wanaitwa Lodhia nafikiri kwa Dsm wako vikindu ni wahinidi ingawa Sina uhakika sana nao wanafyatua Bati zao.Nilijaribu kuwacheki wakaniambia nimcheki Kamaka ndio ajenti Mkuu.Je una uzoefu nao?
Hivi hizi mbao za 2×8 zinauzwa kuanzia shilingi ngap?Ili kupata tahmini nzuri ya mbao zinazohitajika kupaua,
Idadi ya bati ndo Huwa idadi ya mbao kuu (2×8) inayohitajika kupaua nyumba husika.
Mfano:
Nyumba ya bati 100, utapaswa kuandaa mbao za (2×8) pc 100.
Hizo 2× 8
Ndo kila ubao utachanwa kutoa rati 4 za(2×2) au kenchi 2 za (2× 4)
Zinauzwa kuanzia 12,000-15,000,Hivi hizi mbao za 2×8 zinauzwa kuanzia shilingi ngap?
Nimeulizia sehem kadhaa sion wa kiuza .
kwenye bati ndo naskia leoMkuu Kuna Hawa jamaa wanaitwa Lodhia nafikiri kwa Dsm wako vikindu ni wahinidi ingawa Sina uhakika sana nao wanafyatua Bati zao.Nilijaribu kuwacheki wakaniambia nimcheki Kamaka ndio ajenti Mkuu.Je una uzoefu nao?