Nahitaji kufahamishwa kuhusu biashara ya usafirishaji

Nahitaji kufahamishwa kuhusu biashara ya usafirishaji

mahadhialy

Member
Joined
Oct 19, 2019
Posts
45
Reaction score
24
Habari zenu ndugu zangu wanaJF

Nina idea ya biashara ya usafirishaji mizigo, sasa naomba mnijuze kuhusu hii biashara.

1>Je, gharama ya uendeshaji ikoje?

2>Je, vipi biashara hii hapa tz?

3>Je, vipi kuhusu faida kwenye biashara hii?

4>Je, vipi kuhusu kipindi hiki cha korona?

Naomba mnijuze kuhusu hili
 
Back
Top Bottom