Nahitaji kufahamishwa upatikanaji wa ng'ombe na mbuzi kutoka Rufiji

Mshimba1971

Member
Joined
Dec 13, 2021
Posts
75
Reaction score
67
Wadau,

Nimepata habari rifiji ni mgodi mpya wa upatikanaji wa ngombe na mbuzi kwa bei nzuri. Naomba yoyote mwenye ufahamu wa hili na connection anijuze!
 
Mkuu swala lako ulifanikiwa?... Niibie siri kidogo
 
Back
Top Bottom