Abby Senior
Senior Member
- Feb 14, 2015
- 154
- 60
Unauza bei ghali mnoLita 20 kwa elfu 80, nakamua mwenyewe karibu pm..
Wapi huko?Huku kwetu ni 85,000 kwa lita ishirini welcome
Interested mkuu, mashine Iko Dom sehem Gani?Litre 20 Kwa 75000 nakamua mwnyw....Dom karibu
Lita 20 kwa Tsh 75,000, unahitaji kiasi gani?Habari zenu wadau,
Ninaomba kufahamu bei za mafuta ya alizeti, nahitaji kwa wingi.