Nahitaji kufahamu gharama za ushuru wa TOYOTA NOAH bandarini zikoje?

Nahitaji kufahamu gharama za ushuru wa TOYOTA NOAH bandarini zikoje?

Chaz Joe

Member
Joined
Jul 3, 2019
Posts
12
Reaction score
38
Habari wapendwa, nahitaji kumiliki gari aina ya Toyota Noah. Naona ndiyo inayonifaa kwaajili ya kuendesha mishemishe zangu.

Ningependa kwa yeyote ambae anafaham chochote kuhusu gharama za kuagiza hiyo gari na kodi zote tafadhali nijuze
 
Unaagiza gari ya
_ mwaka gan
_kutoka nchi gani
- engine cc ngapi
_bei ya kununulia ni kiasi gani FOB

UKINIPA majibu ya hayo nakupa mchanganuo wa makadirio ya kodi na kila.kitu kama ilivyo. Karibu inbox
 
Habari wapendwa, nahitaji kumiliki gari aina ya Toyota Noah. Naona ndiyo inayonifaa kwaajili ya kuendesha mishemishe zangu.

Ningependa kwa yeyote ambae anafaham chochote kuhusu gharama za kuagiza hiyo gari na kodi zote tafadhali nijuze
Binafsi huwa nafanya hivi;
1. Naitafuta bei gari ikiwa huko iliko (say Japan)
2. Nachukua bei hiyo na kuzidisha mara mbili, kiasi nikipatacho baada ya kuzidisha, ndiyo gharama ya gari hiyo ikiwa imepaki nyumbani kwangu huko imesajiliwa tayari.

Mfano, kama gari inauzwa USD3,000, kwangu naandaa USD6,000 inayo-cover kila kitu, kuanzia manunuzi, usafiri toka liliko hadi badnari ya TZ, maushuru yote ya hapa TZ, kumlipa atakayeshughurika na kulitoa bandarini, usajili na bima ya gari.
 
Habari wapendwa, nahitaji kumiliki gari aina ya Toyota Noah. Naona ndiyo inayonifaa kwaajili ya kuendesha mishemishe zangu.

Ningependa kwa yeyote ambae anafaham chochote kuhusu gharama za kuagiza hiyo gari na kodi zote tafadhali nijuze
Ingia kwenye website ya akina zakayo(watoza ushuru) kuna calculator ipo.
Utahitaji kujua specification ya gari mfano plus mwaka wa iliyotengenezwa, nchi inakotoka nk
 
Back
Top Bottom