Binafsi huwa nafanya hivi;Habari wapendwa, nahitaji kumiliki gari aina ya Toyota Noah. Naona ndiyo inayonifaa kwaajili ya kuendesha mishemishe zangu.
Ningependa kwa yeyote ambae anafaham chochote kuhusu gharama za kuagiza hiyo gari na kodi zote tafadhali nijuze
Ingia kwenye website ya akina zakayo(watoza ushuru) kuna calculator ipo.Habari wapendwa, nahitaji kumiliki gari aina ya Toyota Noah. Naona ndiyo inayonifaa kwaajili ya kuendesha mishemishe zangu.
Ningependa kwa yeyote ambae anafaham chochote kuhusu gharama za kuagiza hiyo gari na kodi zote tafadhali nijuze