Nahitaji kufahamu hili suala la kuweka tinted kioo cha mbele

Nahitaji kufahamu hili suala la kuweka tinted kioo cha mbele

ozadaxnowden

Member
Joined
Sep 27, 2016
Posts
11
Reaction score
17
Habari wakuu,

Nahitaji kufahamu hili suala la kuweka tinted kioo cha mbele naona siku hizi imekuwa kama fashion hapa Dar.

Swali langu mnapambana vipi na hawa jamaa wanaovaa nguo nyeupe barabaran? Je, kuna Sheria yoyote inayokulinda kama dereva?
 
Back
Top Bottom