Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hivi inakuaje katika kufanya mapenzi baada ya bao la kwanza ninakuwa na hamu ya kuendelea lakini kiungo changu hakitoi ushirikiano mpaka nijichue.Nini sababu kama kuna njia ya kulitibu hili tatizo(ya asili)naomba nielekezwe