Nahitaji kufahamu jinsi ya kununua hisa?

simonsize

Member
Joined
Oct 25, 2014
Posts
37
Reaction score
39
Jee'! Utafanya nini ili uweze kununua hisa katika makampuni?
Jee'! Website gani ya kununua hisa kupitia website gani?
 
Jee'! Utafanya nini ili uweze kununua hisa katika makampuni?


 
Kama uko Dar , nenda posta mpya kuna mawakala wa Dse, Umepata elimu ya kutosha? Maana hisa kwa viela vyetu vya madafu haina maana sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…