tindikalikali
JF-Expert Member
- Jan 14, 2011
- 4,854
- 1,129
Nimejaribu kupitia kwenye website yao lakini sijaona gharama zao, yeyote anayefahamu naomba msaada wako. Nataraji kufanya mitihan ya november
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.

namshauri aangalie www.nbmm.ac.tz

Ndio ki2 gani hcho?
kama upo dar wafate ila muda nadhani umepita wa kujisajiliNaona haifunguki wala niki search haipatikani. Nataka nichukue fomu za kujisajili kama walivyonielekeza.
naona una hamu kweli ya kujua, bodi ya wagavi hiyo aka wazee wa 10%

inahusu nin hyo k2?