Nahitaji kufahamu namna ya kufanya biashara ya nafaka

Balozi limited

JF-Expert Member
Joined
Jun 6, 2022
Posts
989
Reaction score
2,565
Naomba kujuzwa namna ya kufanya biashara ya nafaka, kufungua frem kuuza nafaka kama vile Michele, Unga, kunde, maharage nk

Nijue namna inavyofanywa, risk zake, naweza pata haswa wapi, mtaji, masoko, faida nk any thing about it. Thanks

 
Naomba kujuzwa namna ya kufanya biashara ya NAFAKA, kufungua frem kuuza nafaka km vile Michele, Unga, kunde, marage nk
Nitujue namna inavyofanywa, risk zake, naweza pata haswa wapi, mtaji, masoko, faida nk any thing about it. Thanks
Nielekezeni wadau mwenye kujua
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…