Nahitaji kufahamu riba ya mkopo wa NMB pesa fasta

Nahitaji kufahamu riba ya mkopo wa NMB pesa fasta

Alejandroz

JF-Expert Member
Joined
Feb 14, 2017
Posts
329
Reaction score
413
Habari wana jf
Naomba kufahamu riba ya mkopo wa NMB pesa fasta.
Karibu.
 
Habari wana jf
Naomba kufahamu riba ya mkopo wa NMB pesa fasta.
Karibu.
Mkuu nakupa tahadhari...haya mabenki nia yao sio kumkomboa/saidia mtu ni zaidi ya wanyonyaji...ni wauaji.
 
Mfumo wa kibepari, unyonyaji ndio tabia zake.

capitalism as a world economic system, ni kwamba mwenye mtaji anamnyonya asiokuwa nao. kunakuwa na tabaka NYONYA na tabaka NYONYWA. hamna namna
 
Back
Top Bottom