Alejandroz JF-Expert Member Joined Feb 14, 2017 Posts 329 Reaction score 413 Sep 23, 2023 #1 Habari wana jf Naomba kufahamu riba ya mkopo wa NMB pesa fasta. Karibu.
nzalendo JF-Expert Member Joined May 26, 2009 Posts 12,106 Reaction score 12,916 Sep 23, 2023 #2 Alejandroz said: Habari wana jf Naomba kufahamu riba ya mkopo wa NMB pesa fasta. Karibu. Click to expand... Mkuu nakupa tahadhari...haya mabenki nia yao sio kumkomboa/saidia mtu ni zaidi ya wanyonyaji...ni wauaji.
Alejandroz said: Habari wana jf Naomba kufahamu riba ya mkopo wa NMB pesa fasta. Karibu. Click to expand... Mkuu nakupa tahadhari...haya mabenki nia yao sio kumkomboa/saidia mtu ni zaidi ya wanyonyaji...ni wauaji.
Blood of Jesus JF-Expert Member Joined Sep 19, 2016 Posts 4,486 Reaction score 8,098 Jul 24, 2024 #3 Mfumo wa kibepari, unyonyaji ndio tabia zake. capitalism as a world economic system, ni kwamba mwenye mtaji anamnyonya asiokuwa nao. kunakuwa na tabaka NYONYA na tabaka NYONYWA. hamna namna
Mfumo wa kibepari, unyonyaji ndio tabia zake. capitalism as a world economic system, ni kwamba mwenye mtaji anamnyonya asiokuwa nao. kunakuwa na tabaka NYONYA na tabaka NYONYWA. hamna namna