Nahitaji kufahamu vituo vya ukaguzi wa asali kati ya Manyoni na Ngara

Nahitaji kufahamu vituo vya ukaguzi wa asali kati ya Manyoni na Ngara

DENAMWE

JF-Expert Member
Joined
Dec 29, 2019
Posts
862
Reaction score
871
Nisaidie kufahamu vilipo vituo vya ukaguzi wa asali vifuatavyo:

Nata,
Mkweni,
Kaniha na
Kerezia.

Natamani kufahamu wilaya na mji au kituo mashuhuri jirani na kituo husika.
 
Back
Top Bottom