Nahitaji kufahamu zaidi kuhusu BMW 320i

|Ninayo E90 318i LCI ya 2010. Ilizingua mambo mengi ilipokuja mfano, coolant pipe kupasuka, radiator inlet pipe kupasuka, footwell module kuungua, etc. Inahitaji moyo, maana hiyo footwell module ilibidi niipeleke UK kutengenzwa kwa posta. Kila kitu ni expensive na kipekee kama engine oil, transmission oil, coolant (Fuchs, Liqui Molly au ukibania sana Castrol). Kuna kale ka OBD II adapter kanaitwa Carly muhimu sana kuwa nako kwenye gari.
 
Ndio mambo ya Germany engineering hayo mkuu.
 
Ila watu wanasema gari za Toyota ni easy to maintain nadhani wanamaanisha passo, ist, runx etc ila haya mengine spare zake bei zimechangamka...
 
Ila watu wanasema gari za Toyota ni easy to maintain nadhani wanamaanisha passo, ist, runx etc ila haya mengine spare zake bei zimechangamka...
Compare hayo mengine ya Toyota na ya category yake kwny bmw/benz afu njoo na jibu.
 
Compare hayo mengine ya Toyota na ya category yake kwny bmw/benz afu njoo na jibu.
Mkuu huo ni mfano tu wa radiator ya BMW E60 na Crown GRS180 unaweza ona bei ya radiator ya crown ipo juu kimtindo...
 
Mkuu huo ni mfano tu wa radiator ya BMW E60 na Crown GRS180 unaweza ona bei ya radiator ya crown ipo juu kimtindo...
Juu hapo picha ziligoma
 
Attachments

  • Screenshot_20210227-110518_Gallery.jpg
    114.3 KB · Views: 28
  • Screenshot_20210227-110504_Gallery.jpg
    61 KB · Views: 28
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…