Nahitaji kufanya biashara kutoa bidha nchi moja kwenda nyingine

Nahitaji kufanya biashara kutoa bidha nchi moja kwenda nyingine

Baba ummu

Member
Joined
Jul 31, 2022
Posts
33
Reaction score
26
Habari wana jf

Natamani sana kufanya biashara yoyote ile ambayo itakua hivi, kwa mfano: unaichukua biashara bongo unaipeleka iwe Congo, Zambia, Zimbabwe, Malawi, kisha unaichukua huko biashara unaileta bongo au kwengine unapiga noti, lengo ni kukomaa, kukua kifikra, na kupata netwek tofauti nyingi; Msaada kwa mwenye kujua biashara gani, sehemu gan, msingi uanze na kiasi gan?

Atupe"CODE NAMBA" [emoji120]
 
Back
Top Bottom