Nahitaji kufanya biashara ya kununua cmu kwenye makampuni kwa njia ya mitandao..je inawezekana?

Nahitaji kufanya biashara ya kununua cmu kwenye makampuni kwa njia ya mitandao..je inawezekana?

Nyam

Senior Member
Joined
Jul 9, 2012
Posts
134
Reaction score
72
Mimi ni mwanajf, natamani sana kufanya biashara ya simu kutoka kwenye makampuni husika kwa njia ya mitandao kwa kutumia website zao zinazorushwa mitandaoni kwa njia ya matangazo ili niweze kuuza hapa nchini..Je inawezekana?? na kama inawezekana, nitapataje uhakika wa hayo makampuni??
 
Salaam,
Biashara hiyo kwa Tanzania watakuunganisha na wawakilishi wao ambao kimsingi wapo nchini kwa ajili ya kurahisisha biashara. Kampuni moja kwa moja haitaweza kukuuzia kwa sababu mara nyingi huuza kwa makampuni ya simu kwa ajili ya promotions kwa maana nyingine huuza idadi kubwa kwa pamoja kama kuanzia 1000pcs

Hata hivyo, unaweza kujaribu kuwasiliana na Import Export - free B2B website- international market price- free B2B directory- importers, buyers, manufacturers, wholesalers, distributors- listing - company directory- free B2B marketplace. wanaweza kukupa mwanga zaidi wa unachotaka kufanya.Vinginevyo ni vyema ungeingia kwenye masoko ya Guangzhou na Hong Kong kwa biashara hizi ni rahisi sana.
 
Nashukuru kwa maelezo yako mazuri, ngoja nijaribu kufatilia hili swala..
 
Back
Top Bottom