Mswahili-professor
Member
- Feb 23, 2025
- 5
- 3
Habari Wana JF; Nahitaji kufanya biashara ya kuuza mbao changamoto niliyonayo ni mtaji wangu mdogo je naweza kupata mkulima wa mbao wa kushirikiana nae? au mtu mwenye mtaji na nitakuwa nasimamia biashara na kugawana faida
Pia naombeni ushauri kwa wazoefu wa hii biashara namna bora ya kuiendesha, changamoto zake na jinsi ya kuhimili soko.
Pia naombeni ushauri kwa wazoefu wa hii biashara namna bora ya kuiendesha, changamoto zake na jinsi ya kuhimili soko.