Mswahili-professor
Member
- Feb 23, 2025
- 5
- 3
5MMtaji wako shiringi ngap
Hujasema unataka kuuza kutoka mashambani na kuzisafirisha kwenda mjini au unataka kufungua duka la mbao mjini?Habari Wana JF; Nahitaji kufanya biashara ya kuuza mbao changamoto niliyonayo ni mtaji wangu mdogo je naweza kupata mkulima wa mbao wa kushirikiana nae? au mtu mwenye mtaji na nitakuwa nasimamia biashara na kugawana faida
Pia naombeni ushauri kwa wazoefu wa hii biashara namna bora ya kuiendesha, changamoto zake na jinsi ya kuhimili soko.
agza kidogo kidogo kwa mtaji wako uanze. hiyo hela kwa iringa ni nyingi sana la sasa kufikisha hapa mjini ndio ishu
Kwanin hutoifanya Tena ulikumbana na ninHii biashara niliapa sitoifanya Tena kwa yaliyonikuta sahizi mtu akiingiza mjini roli lake la mbao mi namheshimu tu biashara ya madini nayo ilininyoosha ila nitarudi Tena.
Sipendi kumkatisha mtu tamaa maana mi pia nimefaulu kwenye biashara ambazo wengine wamefeli na nimefeli kwenye biashara ambazo wengine wamefaulu.
Kikubwa Fanya utafiti wa hiyo biashara wewe mwenyewe kutoka kwa wanaoifanya.
Ujue mbinu zao za halali na za nyuma ya pazia
Shukran mkuu ubarikiweagza kidogo kidogo kwa mtaji wako uanze. hiyo hela kwa iringa ni nyingi sana la sasa kufikisha hapa mjini ndio ishu
Nafungua yard yangu mwenyeweHujasema unataka kuuza kutoka mashambani na kuzisafirisha kwenda mjini au unataka kufungua duka la mbao mjini?
Sasa kuna watu nawaonaga wanajiunga kikundi wanachanga hela kisha wanakodi gari kwenda kuchukua mbao iringa kisha wakirudi wanagawana,ila kama unataka kufanya mchezo huu hakikisha hao watu unaochanga nao mnajuana vizuri na mnaaminiana vinginevyo hiyo pesa yako itapigwa fasta na kuyeyuka ndani ya sekunde tu kwenye hii sekta ina utapeli mwingi sana.
Shukran mkuu ubarikiweHii biashara niliapa sitoifanya Tena kwa yaliyonikuta sahizi mtu akiingiza mjini roli lake la mbao mi namheshimu tu biashara ya madini nayo ilininyoosha ila nitarudi Tena.
Sipendi kumkatisha mtu tamaa maana mi pia nimefaulu kwenye biashara ambazo wengine wamefeli na nimefeli kwenye biashara ambazo wengine wamefaulu.
Kikubwa Fanya utafiti wa hiyo biashara wewe mwenyewe kutoka kwa wanaoifanya.
Ujue mbinu zao za halali na za nyuma ya pazia
Habari Wana JF; Nahitaji kufanya biashara ya kuuza mbao changamoto niliyonayo ni mtaji wangu mdogo je naweza kupata mkulima wa mbao wa kushirikiana nae? au mtu mwenye mtaji na nitakuwa nasimamia biashara na kugawana faida
Pia naombeni ushauri kwa wazoefu wa hii biashara namna bora ya kuiendesha, changamoto zake na jinsi ya kuhimili soko.
Chwaaaaaaanjoo dm nikupe madini juu ya biashara hii ya mbao
Kumbe Sasa unatafuta tu kuajiriwaB bora ungefunguka moja kwa mojaHabari Wana JF; Nahitaji kufanya biashara ya kuuza mbao changamoto niliyonayo ni mtaji wangu mdogo je naweza kupata mkulima wa mbao wa kushirikiana nae? au mtu mwenye mtaji na nitakuwa nasimamia biashara na kugawana faida
Pia naombeni ushauri kwa wazoefu wa hii biashara namna bora ya kuiendesha, changamoto zake na jinsi ya kuhimili soko.
Kama hutojali ziweke wazi changamoto zake zilizokufelisha mkuu.Hii biashara niliapa sitoifanya Tena kwa yaliyonikuta sahizi mtu akiingiza mjini roli lake la mbao mi namheshimu tu biashara ya madini nayo ilininyoosha ila nitarudi Tena.