Nahitaji kufanya biashara ya 'Uwakala wa bank' yeyotee

FirstClass

JF-Expert Member
Joined
Dec 29, 2016
Posts
1,100
Reaction score
1,363
Husika na mada tajwa hapo juu, mwenye ufahamu juu ya biashara hii anijuzee, Ufafanuzi ktk
Mtaji..
Gharama za vibari..
Gharama ya mashine
Faida
Na process za kibenk kwa ujumla

Karibun..
 
Uwe na vifuatavyo;
1.Leseni ya biashara(kwa maana uwe na biashara yako yoyote ile iliosajiliwa.
2.Mtaji wa kuanzia Tsh.Milioni 2 au zaidi
3.Bei ya mashine nadhani haizidi laki 2
4.Watakutaka ufungue akaunti ya benki husika kwa ajili ya kuingiza hio milioni 2 kama mtaji wako.
5.Vigezo vingine na masharti kama vya kufungua akaunti nk utaelezwa benki lakini nilivyoeleza hapo juu ndio Vigezo vikubwa.

NB.Lengo kua na biashara yako ni kwamba pesa unayoipata kutoka katika biashara yako utaitumia kulipa hao wanaotoa pesa kwako.
 
Niseme asante chief.. Umenipa mwanga

Back
Top Bottom