Uwe na vifuatavyo;
1.Leseni ya biashara(kwa maana uwe na biashara yako yoyote ile iliosajiliwa.
2.Mtaji wa kuanzia Tsh.Milioni 2 au zaidi
3.Bei ya mashine nadhani haizidi laki 2
4.Watakutaka ufungue akaunti ya benki husika kwa ajili ya kuingiza hio milioni 2 kama mtaji wako.
5.Vigezo vingine na masharti kama vya kufungua akaunti nk utaelezwa benki lakini nilivyoeleza hapo juu ndio Vigezo vikubwa.
NB.Lengo kua na biashara yako ni kwamba pesa unayoipata kutoka katika biashara yako utaitumia kulipa hao wanaotoa pesa kwako.