Miss kimaro
Member
- Jul 23, 2018
- 25
- 7
Mtaji bado aujafika wa kwenda kuchukua Congo mtaji wangu ni mdogo alafu bado nipo chuoNenda Congo achana na Dar.
Mtaji bado aujafika wa kwenda kuchukua Congo mtaji wangu ni mdogo alafu bado nipo chuo
OkSawa ukipata mtaji wa kueleweka nenda Kongo "Kuwa makini na matapeli"
Naitaji kununua kwenye maduka ya jumlaUnataka kutoa vitenge wapi?
Unataka kuuzia wapi?
Maswali hayo mawili ukiyajibu ndo nitajua pa kuanzia kukushauri.
Unataka kuchuuza, sio kufanya biashara. Mungu akutangulie mdogo wangu, ila biashara hiyo huwa ina changamoto nyingi sana. My dear aliwahi fanyaNaitaji kununua kwenye maduka ya jumla
Na kuviuza rejareja maeneo ya mbezi beach
[emoji120][emoji15][emoji15] ivi kuuza na kufanya biashara kunatofauti eeee??Unataka kuchuuza, sio kufanya biashara. Mungu akutangulie mdogo wangu, ila biashara hiyo huwa ina changamoto nyingi sana. My dear aliwahi fanya
Kuuza tena?[emoji120][emoji15][emoji15] ivi kuuza na kufanya biashara kunatofauti eeee??
Tafuta connection Kigoma soko LA mwanga kuna vitenge vya kutoshaHabari zenu.....
Naitaji Msaada wa machimbo mazuri ya Vitenge kwa dar es salaam coz naitaji kufanya biashara ya Vitenge but sijajua niwapi nitapata Vitenge vizr na kwa bei nafuu naitaji Msaada wenu Sana Jamii na je nivitenge gani vipi kwenye soko kwa sasa??
OK thank uTafuta connection Kigoma soko LA mwanga kuna vitenge vya kutosha