REJESHO HURU
JF-Expert Member
- Mar 6, 2014
- 4,664
- 9,929
Heshima kwenu wadau
kijana wenu katika kuangalia fulsa nikapata wazo la kufuga mbuzi kwa sababu
1.eneo nililopo mbuzi wanapatikana kwa bei ya kawaida bei ambayo uyo mbuzi ukimpeleka umbali wa kilomite 20 kutoka nilipo faida yake shilingi 15 mpaka 20
2.nyama ya mbuzi inazidi kupanda bei kila siku.
hivyo basi nikapata wazo la kujenga banda nzuri la kisasa hapa nilipo nakuanza kuwa nakusanya mbuzi nakuweka mchungaji pindi tskapofikisha mbuzi wengi nipeleke sokoni
msaada naoitaji
je nifuge mbuzi wa aina gani
aina ipi ya lishe niwapatie ili wakue vizuri
je banda bora la mbuzi linaitajikaa kuwa na mbuzi wangapi
tashukuru kwa mchango wenu asanteni.