Agustini john
Member
- Aug 9, 2014
- 29
- 3
Wakuu anayejua kutengeneza batiki or mshumaa, unahitajika uanze na mtaji wa shilingi ngapi? Nataka nianze biashara hiyo, naomba ushauri wenu!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wakuu anaye juwa kutengeneza batiki or mshumaa unaitajika uanze na mtaji wa shii ngapi nataka nianze biashara iyo naomb ushauri wenu
Unapatikana mkoa gani?? Kwa mshumaa naweza kukusaidia

Sasa unaweza jua unapoweza pata hizi chemical
Petrolium wax ???
Bee wax ??
Stearic acid ????
Nasubiri jibu lako then we to second lever of learning

Hata mimi natafuta hizo materials, nipo Dar...
Jamani Nipo Dar nami nataka kujua iyo business nifanyaje???
baada ya hapo