Thabit Karim
JF-Expert Member
- Sep 3, 2012
- 393
- 735
Nahitaji kufunga solar system nyumbani kwangu. Nahitaji kuwasha Tv nchi 43, visimbuzi viwili, playstation 5 taa tano za watts 10. Pia kutumia rice cooker ya Watts 700 na blander ya watts 400.
Mwanzo nilipanga kununua watts 100 na inverter ya watts 500 na betri ya N75. Je ni sawa?
N.b[emoji1370]
Hivi vitu sio kuwasha kwa pamoja na matumizi yangu hayazidi masaa 4 kwa siku tena km umeme wa Tanesco haupo. Narudi saa kumi tokea kazini. So tatumia km Tanesco wamekata
Ushauri wenu[emoji2970]
Ngoja niendelee kusoma hapa nna mpango huu piaKwasababu kuna blender, inverter sizing ni 2000W by default. Technically any motorized load inachukua 3-5 times ya rated power during startup and inarudi kwenye kuboperate at rated power after few seconds.
2nd, 500w inverter haiwezi kuoperate rice cooker ya 700w. (500w
3rd, assuming unapata masaa 10 ya jua huko uliko throughout a day, panel ya 100w itakupa watt 1000Wh au unit 1kWh. Zitahitaji minimum battery ya 83.3Ah 12V kua stored.
4th, Unlike Lithium battery, kwa case ya battery za Lead-Acid, flooded (za maji, unadvisable) na Gel lazima uangalie Minimum discharge level. Kawaida advisable limit ni 50% ili kuipa maisha. Consider this during design.
Your system is sizable, location?
Maelezo mazuri ila hujatoa solution watu wajifunze anatakiwa kutumia battery na solar na invetar zote za size gani?Kwasababu kuna blender, inverter sizing ni 2000W by default. Technically any motorized load inachukua 3-5 times ya rated power during startup and inarudi kwenye kuboperate at rated power after few seconds.
2nd, 500w inverter haiwezi kuoperate rice cooker ya 700w. (500w<700w)
3rd, assuming unapata masaa 10 ya jua huko uliko throughout a day, panel ya 100w itakupa watt 1000Wh au unit 1kWh. Zitahitaji minimum battery ya 83.3Ah 12V kua stored.
4th, Unlike Lithium battery, kwa case ya battery za Lead-Acid, flooded (za maji, unadvisable) na Gel lazima uangalie Minimum discharge level. Kawaida advisable limit ni 50% ili kuipa maisha. Consider this during design.
Your system is sizable, location?
Kwa uzoefu wangu kulingana na uhitaji wako
battery isiwe chini ya 200Ah,
inverter kuanzia 2000W ya ukweli maana kuna nyingine zinaandikwa 2000w lkn unakuta max power ni 800w
,japo ukitaka kuwasha blender utalazimika kuzima vifaa vingine vyoote solar pannel 200w + pamoja na MPPT charger controler
lakini pia utatakiwa uwe na Automatic transifer switch ili umeme ukikata inaswitch kwenye solar na pia uwe na uwezo wa kutumia wiringi hiyo hiyo
Mimi nitumie pannel solar ngapi na bettery yenye ukubwa gani ili niweze kuvuta maji kisimani na kuyapandisha kwenye tankKwa uzoefu wangu kulingana na uhitaji wako
battery isiwe chini ya 200Ah,
inverter kuanzia 2000W ya ukweli maana kuna nyingine zinaandikwa 2000w lkn unakuta max power ni 800w
,japo ukitaka kuwasha blender utalazimika kuzima vifaa vingine vyoote solar pannel 200w + pamoja na MPPT charger controler
lakini pia utatakiwa uwe na Automatic transifer switch ili umeme ukikata inaswitch kwenye solar na pia uwe na uwezo wa kutumia wiringi hiyo hiyo
That’s economically infeasibleMimi nitumie pannel solar ngapi na bettery yenye ukubwa gani ili niweze kuvuta maji kisimani na kuyapandisha kwenye tank
Jambo la msingi zingatia Kwa kuangalia pamp ni watts ngapi mfano watts 300 basi inverter inayobadili umeme kuwa kama wa tanesco izidi watts hizo 300 walau iwe na 300 kifupi jumlisha watts ya vifaa vyako ikiwa unatumia Kwa pamoja ukipata 1500 basi inveta izidi iwe hata 2000 utaweza kuvioperate vyote muhimu lingine iwe umeme unaohifadhi nilivyosikia betri ya n 100 Ina unit 1.2 ikijaa na ikiwa mpya je matumizi yako ni 1.2 Kwa siku labda hapana ni unit 5 basi itakubidi uwe na betri walau 6 za N100 kuinjoyMimi nitumie pannel solar ngapi na bettery yenye ukubwa gani ili niweze kuvuta maji kisimani na kuyapandisha kwenye tank
Nipo hapa kuomba ushauri ili nipate kujua naanzia wapi , nataka nifunge mfumo wa solar wa kupandisha maji kwenye tank kwa ajili ya matumizi ya nyumbani tu, so nataka mtaalamu aniambie kuwa vifaa hivyo vyote nje na tank ili tu kupata umeme wa kupandisha maji natakiwa kuandaa sh ngapi?Jambo la msingi zingatia Kwa kuangalia pamp ni watts ngapi mfano watts 300 basi inverter inayobadili umeme kuwa kama wa tanesco izidi watts hizo 300 walau iwe na 300 kifupi jumlisha watts ya vifaa vyako ikiwa unatumia Kwa pamoja ukipata 1500 basi inveta izidi iwe hata 2000 utaweza kuvioperate vyote muhimu lingine iwe umeme unaohifadhi nilivyosikia betri ya n 100 Ina unit 1.2 ikijaa na ikiwa mpya je matumizi yako ni 1.2 Kwa siku labda hapana ni unit 5 basi itakubidi uwe na betri walau 6 za N100 kuinjoy
Good. but not possible. Its common practice now ku operate Pump au motor bila betri. Technically not advisable kutumia battery kurun pump. Zitakufa wiki tu.Jambo la msingi zingatia Kwa kuangalia pamp ni watts ngapi mfano watts 300 basi inverter inayobadili umeme kuwa kama wa tanesco izidi watts hizo 300 walau iwe na 300 kifupi jumlisha watts ya vifaa vyako ikiwa unatumia Kwa pamoja ukipata 1500 basi inveta izidi iwe hata 2000 utaweza kuvioperate vyote muhimu lingine iwe umeme unaohifadhi nilivyosikia betri ya n 100 Ina unit 1.2 ikijaa na ikiwa mpya je matumizi yako ni 1.2 Kwa siku labda hapana ni unit 5 basi itakubidi uwe na betri walau 6 za N100 kuinjoy
Okay. Just post load requirements zako hapa. I'm not very busy today.Nipo hapa kuomba ushauri ili nipate kujua naanzia wapi , nataka nifunge mfumo wa solar wa kupandisha maji kwenye tank kwa ajili ya matumizi ya nyumbani tu, so nataka mtaalamu aniambie kuwa vifaa hivyo vyote nje na tank ili tu kupata umeme wa kupandisha maji natakiwa kuandaa sh ngapi?
Kisima ndio natumia kisima kina futi 60 tu najaza tank liter elfu tano tu kwa matumizi ya home kwangu ni siku 20 kuyamalizaOkay. Just post load requirements zako hapa. I'm not very busy today.
like;
1. Pump: 1hp, 230AC (kama unayo)
2. Location: area name or lat/long
3. Unakisima au RUWASA
4. Expected daily water litres e.g 500L
au kama hauna pump just list the remaining ones
Okay. You've not listed other requirements. Location (Street/village name is enough) and pump sizeKisima ndio natumia kisima kina futi 60 tu najaza tank liter elfu tano tu kwa matumizi ya home kwangu ni siku 20 kuyamaliza