Nahitaji kufungua akaunti Azania Bank

Nizhneserginsky

JF-Expert Member
Joined
Mar 9, 2017
Posts
268
Reaction score
568
Habarini wanaJF,poleni na majukumu ya kila siku.

Nahitaji kufungua akaunti (saving A/c) Azania Bank, ningependa kufahamu gharama za uendeshaji kila mwezi, vile gharama za kutoa pesa ATM na kwa Mawakala.

Natanguliza shukrani.
 
Tukishakupa utataka tukakufungulie na account, acha kudeka deka hapo. Hicho ni kitendo cha dakika kadhaa tu asubuhi unaenda kwenye tawi la karibu yako unapewa taarifa zote acha kudeka....
 
Google pata namba zao kisha wapigie simu.
Mambo ya benki muulize Laizer.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…