Nahitaji kufungua akaunti ya dollar

Nahitaji kufungua akaunti ya dollar

mahenda255

JF-Expert Member
Joined
Jul 29, 2018
Posts
513
Reaction score
691
Za jioni wakuu.

Nahitaji kufungua akaunti ya dollar Equity Bank ila sijui gharama zao, nilikuwa nahitaji muongozo kidogo kuhusu vitu vifuatavyo.

Gharama za kufungua akaunti. Makato ya mwezi. Ni muda gani inachukua mpaka kupata kadi na Kiasi cha chini cha kuanzia kuweka pesa kwenye akaunti.

Nawasilisha
 
Additional question.

Equity tz branch ni benki inayofanya vizuri? Liquidity na mambo mengine...au ni zilezile dk sifuri unaskia zipo chini ya BOT?
 
Additional question..

Equity tz branch ni benki inayofanya vizuri? Liquidity na mambo mengine...au ni zilezile dk sifuri unaskia zipo chini ya BOT?
Nasikia wapo vizuri hata huduma zao zipo fasta
 
Acc kama hizo mara nying wanahitaji Kitambulisho, Barua ya utambulisho kutoka Serikali za mitaa na picha za passport mbili. Kianzia ni dola 20, kama elf hamsini za kitanzania hv. Kwa makato sijajua ila naona benk nying sikuhizi wana acc ambazo hazikatwi makato ya mwezi. Pia ukifika kwenye moja ya matawi yao wanaweza kukupa maelezo zaidi.
 
Za jioni wakuu.

Nahitaji kufungua akaunti ya dollar Equity Bank ila sijui gharama zao, nilikuwa nahitaji muongozo kidogo kuhusu vitu vifuatavyo.

Gharama za kufungua akaunti. Makato ya mwezi. Ni muda gani inachukua mpaka kupata kadi na Kiasi cha chini cha kuanzia kuweka pesa kwenye akaunti.

Nawasilisha
Taarifa zipo zote mbona online
 
Back
Top Bottom