mahenda255
JF-Expert Member
- Jul 29, 2018
- 513
- 691
Nasikia wapo vizuri hata huduma zao zipo fastaAdditional question..
Equity tz branch ni benki inayofanya vizuri? Liquidity na mambo mengine...au ni zilezile dk sifuri unaskia zipo chini ya BOT?
Taarifa zipo zote mbona onlineZa jioni wakuu.
Nahitaji kufungua akaunti ya dollar Equity Bank ila sijui gharama zao, nilikuwa nahitaji muongozo kidogo kuhusu vitu vifuatavyo.
Gharama za kufungua akaunti. Makato ya mwezi. Ni muda gani inachukua mpaka kupata kadi na Kiasi cha chini cha kuanzia kuweka pesa kwenye akaunti.
Nawasilisha
Shukrani mkuuTaarifa zipo zote mbona online